MASHINJI AOMBA KUJIUNGA NA CCM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 18 February 2020

MASHINJI AOMBA KUJIUNGA NA CCM


Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuomba kujiunga na Chama cha
Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphrey Polepole, Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey Polepole akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maombi ya Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji kuomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndugu Humphurey Polepole akiwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Vicent Mashinji aliyeomba kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkutano uliofanyika katika ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020

KATIBU MKUU MSTAAFU WA CHADEMA DKT. VICENT MASHINJI AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM ). LUMUMBA JIJINI  DAR ES SALAAM. FEBRUARI 18, 2020

No comments:

Post a Comment