![]() |
Mamia wajitokeza kutambua miili ya wapendwa wao Tanzania |
NI HALI ya simanzi wakati wakazi wa mkoani Kilimanjaro walipojitokeza kutambua miili ya ndugu zao waliopoteza maisha juma lililopita.
Ibada ya kuwaaga watu 20 waliopoteza maisha baada ya kukanyagana mjini Moshi baada ya ibada mwishoni mwa juma lililopita inafanyika hii leo mkoani humo.
-BBC
No comments:
Post a Comment