| Mkuu wa Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' cha nchini Marekani, Askofu Mkuu Cletus Bassey akizungumza katika hafla ya kuwatunuku shahada ya udaktari wa heshima jijini Dar es Salaam. |
| Askofu Richard Harper toka Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' cha nchini Marekani akizungumza katika hafla hiyo. |
| Wanamahafali wa Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' (LeadImpact University) wakiandamana kuingia katika Ukumbi wa Karimjee kutunukiwa...! |
| Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiwaongoza Wanamahafali wa Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' (LeadImpact University) kabla ya kutunukiwa...! |
| Sehemu ya wageni waalikwa katika mahafali hayo... |
| Sehemu ya wanamahafali wa Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' cha nchini Marekani wakiwa katika hafla hiyo. |

No comments:
Post a Comment