BUNGENI LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 3 February 2020

BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mnadhimu  mkuu wa kambi  rasmi ya upinzani bungeni, Ester Bulaya, kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia) na  Peter  Lijualika  wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Viti Maalum  kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni  Cesilia Pareso, Grace Kiwelu na Risala Kabongo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Igunga,  Dkt. Dalaly  Kafumu kwenye jengo la utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020.  Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Shally Raymond.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wananchi kutoka kijiji cha  Mwanzugi  wilayani Igunga waliotembelea bunge kwa mwaliko wa mbunge wao, Dkt. Dalaly Kafumu (wa pili kushoto), Februari 3, 2020.  Kutoka kulia ni Abel Nching’wa, Ntemi Mboje na Mahona Lutengwa.

No comments:

Post a Comment