RAIS DK MAGUFULI AZINDUA HOTEL VERDE - AZAM LUXURY RESORT ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 11 January 2020

RAIS DK MAGUFULI AZINDUA HOTEL VERDE - AZAM LUXURY RESORT ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi  kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa mara baada ya kuzindua Hotel Verde ya Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa alipowasili kabla ya kuzindua Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku alipokuwa akigagua moja ya chumba  cha Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijaribu vifaa vya mazoezi alipoambatana na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kutazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar  wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim akigagua moja maeneo mbalimbali ya Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar  wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment