DAR YAANZA KUNOGA; UPANUZI BARABARA YA NJIA NANE, BARABARA ZA JUU UBUNGO ZAVUTIA…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 22 January 2020

DAR YAANZA KUNOGA; UPANUZI BARABARA YA NJIA NANE, BARABARA ZA JUU UBUNGO ZAVUTIA…!

Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange). Mradi huo wa Ujenzi katika Makutano  ya Barabara za Mandela, Morogoro na Sam Nujoma (Ubungo Interchange) unaendelea kwa kasi kubwa na umefikia asilimia 65 kwa mradi mzima na sehemu ya gorofa ya pili ambayo itapitisha magari yanayotumia barabara ya Morogoro imefikia asilimia 75. Mradi huo unatarajiwa kuondoa adha ya msongamano mkubwa katika makutano ya barabara hizo pindi utakapokamilika. PICHA NA IKULU.

Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange). Mradi huo wa Ujenzi katika Makutano  ya Barabara za Mandela, Morogoro na Sam Nujoma (Ubungo Interchange) unaendelea kwa kasi kubwa na umefikia asilimia 65 kwa mradi mzima na sehemu ya gorofa ya pili ambayo itapitisha magari yanayotumia barabara ya Morogoro imefikia asilimia 75.

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro. Picha na Ikulu.

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro.

Upanuzi  wa Barabara ya Morocco – Mwenge ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama inavyoonekana pichani.
Sehemu ya Barabara ya Morocco-Mwenge katika eneo la Fao kabla ya ujenzi wa njia hizo nne mpya.

Upanuzi wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya Morogoro. Picha zote na Ikulu.

No comments:

Post a Comment