BUNGENI LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 30 January 2020

BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2020


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa  (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2020. Kulia ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi,  Jaku Ayoub.

No comments:

Post a Comment