WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 8 December 2019

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa ramani ya jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, kabla ya kuweka jiwe la msingi, Desemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi wa jengo la abiria, linalojengwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 8, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment