RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE WASALI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA PILI YA MAJILIO KANISA KUU LA EPIFANIA PAROKIA YA BUGANDO JIJINI MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 8 December 2019

RAIS MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE WASALI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA PILI YA MAJILIO KANISA KUU LA EPIFANIA PAROKIA YA BUGANDO JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka ya Ujenzi wa Kanisa katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wamejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza  katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  wa Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  (hawapo pichani) wa Kanisa Kuu la Epifania Parokia ya Bugando jijini Mwanza katika Misa Takatifu ya Dominika ya pili ya Majilio iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande leo tarehe 8/12/2019. 

No comments:

Post a Comment