NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA BARABARA YA BULAMBA-KISORYA KM 51 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 5 December 2019

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA BARABARA YA BULAMBA-KISORYA KM 51

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa akitoa maelekezo mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya KM 51 inayojengwa kwa kiwango cha lami. 

NAIBU
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa aridhishwa na ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya KM 51 inayojengwa kwa lami. Barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Nyamuswa- Bunda-Kisorya-Nansio yenye urefu wa Km 121.9.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa (kulia) akipata maelezo kutoka kwa wataalam baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya KM 51 inayojengwa kwa kiwango cha lami.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa akitoa maelekezo mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya KM 51 inayojengwa kwa kiwango cha lami. 

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias John Kwandikwa (kulia) akiwa katika ziara yake kukagua ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya KM 51 inayojengwa kwa kiwango cha lami. 

No comments:

Post a Comment