WAZIRI KIGWANGALLA AZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI WA UFUGAJI NYUKI NCHINI NA KUGAWA MIZINGA YA KISASA 1000 MKOANI TABORA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 19 November 2019

WAZIRI KIGWANGALLA AZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI WA UFUGAJI NYUKI NCHINI NA KUGAWA MIZINGA YA KISASA 1000 MKOANI TABORA

Waziri wa Maliasili na utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu ufugaji wa nyuki wadogo na mazao yake kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Ufugaji wa Nyuki Bw. Daniel Charles Pancras alipotembelea na kukagua kituo cha Utafiti na Mafunzo cha kuzalisha nyuki wadogo katika Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki mkoani Tabora.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akiweka nta maalum inayotumika kuwavutia nyuki kuingia kwenye mizinga ya kisasa ya maoksi pale inapotudikwa wakati akigawa jumla mizinga ya kisasa 1000 kwa Chuo cha Mafuzo ya Ufugaji Nyuki Tabora na Jumuiya ya Wafugaji wa Nyuki wa Ipole WMA mkoani Tabora.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akigawa jumla mizinga ya kisasa 1000 kwa Chuo cha Mafuzo ya Ufugaji Nyuki Tabora na Jumuiya ya Wafugaji wa Nyuki wa Ipole WMA mkoani Tabora.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akigawa jumla mizinga ya kisasa 1000 kwa Chuo cha Mafuzo ya Ufugaji Nyuki Tabora na Jumuiya ya Wafugaji wa Nyuki wa Ipole WMA mkoani Tabora.

No comments:

Post a Comment