RAIS MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI PAROKIA YA MT. MARIA IMACULATA CHAMWINO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 24 November 2019

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI PAROKIA YA MT. MARIA IMACULATA CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa takatifu katika Parokia hii toka ahamie rasmi Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Picha zote na IKULU.

No comments:

Post a Comment