RAIS MAGUFULI AKABIDHI JENGO LA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KWA JESHI LA POLISI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 22 November 2019

RAIS MAGUFULI AKABIDHI JENGO LA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KWA JESHI LA POLISI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kukabidhi jengo kwa adili ya Makao makao Makuu ya Jeshi la polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi fungi za jengo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati akikabidhi jengo hilo kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikilkiza Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro alipokuwa akishukuru kwa kukabidhiwa jengo hilo litakalokuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Jengo ambalo Rais Dkt John Pombe Magufuli amelikabidhi Jeshi la Polisi kufanya Makao Mkuu yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019.  Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

No comments:

Post a Comment