RAIS DK MAGUFULI APOKEA GAWIO KUTOKA MASHIRIKA, TAASISI NA KAMPUNI, IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 25 November 2019

RAIS DK MAGUFULI APOKEA GAWIO KUTOKA MASHIRIKA, TAASISI NA KAMPUNI, IKULU DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10, 487, 518, 800  ikiwa ni gawio la Benki ya NMB  toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (kula) na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Bi. Margareth Ikongo, kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya gawio ya  Shilingi Bilioni 169 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Prof. Ignatus Rubalatuka (kulia) na  Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Deusdedit Kakoko (wa pili kulia) kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.  Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango. TPA ndio taasisi ya umma iliyoibuka kidedea kwa kutoa gawio Kubwa kuliko wole.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 7, 211, 321, 076.40 ikiwa ni gawio la Benki ya CRDB toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya hiyo Bw. Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Bw. Ally Laay (wa pili kulia) kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 42,177, 820, 000. 00 ikiwa ni gawio la TANAPA toka kwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijkazi nma Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Adolf Mkenda  kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino  leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino  leo Jumapili November 24, 2019.

No comments:

Post a Comment