RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 16 October 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lindi vijijini katika jimbo la Mtama (hawaonekani pichani) mkoani Lindi wakati akielekea katika Jimbo la Ruangwa.

Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi.

Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment