Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kuwasili wakati akitokea wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wanyama aina ya viboko katika hifadhi ya Taifa ya Katavi mara baada ya kusimama wakati akielekea Mpanda.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo mkoani Katavi mara baada ya kuwasili akitokea Kibaoni. PICHA NA IKULU.
|
No comments:
Post a Comment