NMB YASHIRIKI MDAHALO ULIOANDALIWA NA IFC KUHUSU USAWA WA KIJINSIA KAZINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 31 October 2019

NMB YASHIRIKI MDAHALO ULIOANDALIWA NA IFC KUHUSU USAWA WA KIJINSIA KAZINI

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna akiongea kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. Mdahalo huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ulikutanisha Wakurugenzi kutoka taasisi za Fedha, Wajasiriamali na Jinsia nchini. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered - Sanjay Rughani na kushoto ni Bi. Hodan Addou kutoja Umoja wa Mataifa.

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered - Sanjay Rughani.

Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered - Sanjay Rughani (wa pili kulia) akichangia mada katika mdahalo huo. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna pamoja na Bi. Hodan Addou kutoja Umoja wa Mataifa (kushoto).

Sehemu ya washiriki kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini wakifuatilia mijadala.

No comments:

Post a Comment