MWENYEKITI WA CCM RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 30 October 2019

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Oktoba 30, 2019.

No comments:

Post a Comment