MSANII wa Bongo Flava Ali Kiba (King Kiba) akitowa burudani wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 6 ya Mgahawa wa Six Degrees South, mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.(Picha na Othman Maulid) |
King Kiba Ali Kiba akilishambulia jukwaa la mgahawa wa Six Degrees South Shangani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla hiyoiliofanyika jana usiku. |
MSANII wa Bongo Flava Ali Kiba (King Kiba) akitowa burudani wakati wa hafla ya kusherehekea miaka 6 ya Mgahawa wa Six Degrees South, mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.(Picha na Othman Maulid) |
Kipya Bongo Flava King Kiba Ali Kiba akituzwa na mmoja wa shabiki zake katika jukwaa la mgahawa wa Six Degrees South Shangani Jijini Zanzibar, wakati akitumbuiza. |
No comments:
Post a Comment