ZIARA YA KIHISTORIA ILIYOFANYWA NA KIKUNDI CHA KENYA CHA MAENDELEO YA WANAWAKE ORGANIZATION (MYWO) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 19 August 2019

ZIARA YA KIHISTORIA ILIYOFANYWA NA KIKUNDI CHA KENYA CHA MAENDELEO YA WANAWAKE ORGANIZATION (MYWO)

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Dan Kazungu, akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati wa zaira ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha  Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Aliyeketi kulia ni mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani, na wa kwanza kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella.

Mwenyekiti wa shirika la Maendeleo Ya Wanawake (MYWO), Rahabu Mwikali, akimkabidhi zawadi ya picha Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na  kikundi cha  Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.

 Mama Maria Nyerere (Katikati) akipeana mkono na mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani kama ishara ya kumshukuru kwa zawadi walizoleta kutoka Kenya, wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na  kikundi cha  Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Wa kwanza kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella.

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu akiteta jambo na Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na  kikundi cha  Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Aliyeketi kulia ni mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani, na wa kwanza kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella. 

Mwanaharakati na Mpigania uhuru wa Kenya Muthoni Likimani (94) akiwa na Mama Maria Nyerere (kushoto) baada ya kumkabidhi zawadi ya kikoi wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na  kikundi cha  Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.


No comments:

Post a Comment