WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA TAMASHA LA 'SIMBA DAY' DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 6 August 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA TAMASHA LA 'SIMBA DAY' DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Simba Day kwenye uwanja Taifa jijini Dar es salaam, Agosti 6, 2019. Wa tatu kushoto ni  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Kulia ni Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji na kushoto ni  Rais wa TFF, Wallece Karia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mashabiki na wapenzi wa timu ya Soka ya Simba wakati alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Simba Day, Agosti 6, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment