BENKI YA NMB NA SIKU YA WALIMU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 5 August 2019

BENKI YA NMB NA SIKU YA WALIMU JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya NMB, Omari Mtiga (katikati) na meza kuu kwenye Kongamano la 'NMB Teachers Day' akizungumza walimu jijini Dar es Salaam.

Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Ally Ngingite akiwasilisha mada kwa walimu waliohudhuria 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

Meneja Mwandamizi Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Ally Ngingite (mbele) akiwasilisha mada kwa walimu waliohudhuria 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa True Maisha Training Company, Erick Chrispin (kushoto) akiwasilisha mada kwa walimu walioshiriki Kongamano la 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa True Maisha Training Company, Erick Chrispin (mbele) akiwasilisha mada kwa walimu walioshiriki Kongamano la 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

Meneja Insurance wa NMB, Borondo Chacha (wa tatu kulia) akijibu baadhi ya maswali ya walimu kwenye Kongamano la 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

Relationship Manager wa NMB, Nyamisinda Manyonyi (katikati) akifafanua jambo katika kongamano hilo.

Sehemu ya walimu walioshiriki Kongamano la 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kupata ufafanuzi mara baada ya kipindi cha uwasilishaji mada kumalizika.

Mmoja wa walimu akitoa ushuhuda namba Benki ya NMB inavyowajali walimu kwenye Kongamano la 'NMB Teachers Day' jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment