VIONGOZI WA TTCL WATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 6 July 2019

VIONGOZI WA TTCL WATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA...!

 Meneja Masoko wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Aron Msonga (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa TTCL walipotembelea Banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 Meneja Masoko wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Aron Msonga (wa kwanza kulia) akitoa maelezo namna idara yake inavyotoa huduma kwa wateja kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa TTCL walipotembelea Banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 Sehemu ya viongozi waandamizi wa TTCL wakizungumza kwa njia ya huduma ya mawasiliano kwa mtandao (Video Conference) na TTCL Mkoa wa Dodoma moja kwa moja walipotembelea Banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi mbalimbali waliotembelea Banda la shirika la TTCL kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakipata maelezo. 

Baadhi ya viongozi mbalimbali waliotembelea Banda la shirika la TTCL kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakipata maelezo. 

Baadhi ya viongozi wa TTCL waliotembelea Banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakifurahiya jambo. 

Sehemu ya wananchi (kulia) waliotembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakipata huduma mbalimbali.

Sehemu ya wananchi (kushoto) waliotembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakipata huduma mbalimbali. 

Sehemu ya wananchi waliotembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakipata huduma mbalimbali. 

Sehemu ya wananchi waliotembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wakipata huduma mbalimbali. 

Muonekano wa Banda la TTCL kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya viongozi waandamizi wa TTCL wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kutembelea Banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 

Picha ya pamoja ya wana TTCL kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa na viongozi wao waliowatembelea. 

Picha ya pamoja ya wana TTCL kwenye maonesho ya 43 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam wakiwa na viongozi wao waliowatembelea. 

No comments:

Post a Comment