![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili Chato. |
![]() |
Ndege ya Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU.
|
![]() |
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akizungumza na wananchi wa Chato waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita. |
No comments:
Post a Comment