RAIS DK JOHN MAGUFULI AWASILI CHATO MKOANI GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 1 July 2019

RAIS DK JOHN MAGUFULI AWASILI CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuwasalimia Wafanyakazi wa Zimamoto pamoja  na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini TAA mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Njia Panda Wilayani Chato mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam.

Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoa Geita. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment