WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII 330 TOKA CHINA KWA CHAKULA CHA USIKU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 13 May 2019

WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII 330 TOKA CHINA KWA CHAKULA CHA USIKU

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, wakati alipowapokea Watalii 330 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. Tokea kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui  na kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa Watalii 330 tokea nchini China, katika Hoteli ya Mount Meru mkoani Arusha, Mei 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Watalii tokea nchini China, wakiwa wameshika bendera ya Tanzania, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao, baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. kushoto ni Zhung Msuy Ya na Dai Zifan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza katika hafla hiyo.

 Waziri wa Utalii na mali asili nchini Tanzania Dk. Hamisi Kigwangala akizungumza na watalii hao kwenye hafla hiyo.

Watalii tokea nchini China, wakiwa wameshika bendera ya Tanzania, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao, baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. kushoto ni Zhung Msuy Ya na Dai Zifan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa zawadi ya picha ya tingatinga, Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehuikwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya watalii tokea nchini China, Mei 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa zawadi.

Msanii wa musiki tokea China  Di Na , akiwa amejichanganya na wasanii wa ngoma za asili nchini, kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya watalii tokea China, Mei 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya watalii hao wakipiga picha za kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment