RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO WA SWEDEN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 20 May 2019

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO WA SWEDEN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchorwa Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.

No comments:

Post a Comment