MAADHIMISHO SHEREHE ZA WAFANYAKAZI MEI MOSI MBEYA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 1 May 2019

MAADHIMISHO SHEREHE ZA WAFANYAKAZI MEI MOSI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa TUCTA pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Mshikamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Serikali, Taasisi mbalimbali za umma na binafsi  katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Wafanyakazi wakiwa katika shamrashamra za Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. PICHA NA IKULU

Wafanyakazi wakiwa wameshikana mikono huku wakiimba wimbo wa mshikamano katika kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi  iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Wafanyakazi wakiwa katika shamrashamra za Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. PICHA NA IKULU

Wafanyakazi wakiwa katika shamrashamra za Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kukagua majengo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Mbeya mara baada ya kuweka jiwe la msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa majengo ya Utawala na Taaluma katika chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment