UZINDUZI DUKA LA VODACOM TANZANIA, AURA MALL - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 30 April 2019

UZINDUZI DUKA LA VODACOM TANZANIA, AURA MALL

Mkuu wa Mauzo Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata  (kushoto) na Bwana Mirza Ngoshani (mwenye Tshirt ya blue) wakikata utepe kuzindua duka jipya la Vodacom katika jengo la Aura mall hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa, kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na inaendelea kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka hilo duka hilo jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku. 

Mkuu wa Mauzo wa Vodacom Kanda ya Dar na Pwani, George Lugata (wa pili kulia) akizungumza na wageni na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania baada ya uzinduzi wa duka jipya la kampuni hiyo lililopo katika jengo la Aura mall jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom ina maduka 100 na inaendelea kupanua upatikanaji wa huduma ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma kirahisi zaidi. Wengine pichani ni watoa huduma wa duka hilo duka hilo jipya litakalotoa huduma kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku. 

No comments:

Post a Comment