RAIS DK MAGUFULI AKIZINDUA KIWANDA CHA CHAI UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO, NJOMBE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 10 April 2019

RAIS DK MAGUFULI AKIZINDUA KIWANDA CHA CHAI UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO, NJOMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akiwa ameshika majani ikiwa ni hatua ya awali ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hatua za kutengeneza majani ya Chai katika mitambo, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.


No comments:

Post a Comment