Meneja wa Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kulia), akitoa
maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa
viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi
hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo cha kupooza
umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.
Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa
Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu
uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa
Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi
James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo
mjini Sumbawanga.

Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (TANESCO), Balozi Dkt. James Nzagi akiambatana na wajumbe wengine wa bodi hiyo kukagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kujengwa kwa kituo cha kupoza umeme
wa gridi ya taifa mkondo KV 411 lililopo katika kata ya Malangali mjini
Sumbawanga Machi 11, 2019 wakati wa ziara ya viongozi wa bodi hiyo mkoani hapa kukagua miundombinu ya Shirika ikiwa ni pamoja na kuangalia hali ya upatikanaji wa umeme.
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (katikati), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara
baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga
wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (kulia), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara
baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga
wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.
No comments:
Post a Comment