KILAVE AWATAKA UWT KIGAMBONI KUJITOEZA KUGOMBEA UONGOZI CHAGUZI ZIJAZO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 12 March 2019

KILAVE AWATAKA UWT KIGAMBONI KUJITOEZA KUGOMBEA UONGOZI CHAGUZI ZIJAZO

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akizungumza na Wanawake wa UWT  Kata ya Kigamboni Katika ziara yake ya kikazi kuinua hari ya chama na kukumbushana mambo ya Msingi ikiwa pamoja na fursa za mikopo zinazopatikana katika Halmashauri zetu kwa Asilimia nne Wanawake,Asilimia Vijana na Mbili kwa ajili ya watu wenye ulemavu.

 Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam(UWT),Grace Haule akiwakumbusha majukumu watendaji wa chama ngazi ya kata mpaka matawi na kuwatka kudumisha umoja hili CCM iweze kuibuka na ushindi Mnono katika uchaguzi wa 2019 na 2020.

 Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Umoja wa Wanawake(UWT), Chokole Mohamed, akiwasalimia wakazi wa kata ya Kigamboni Katika Mkutano wa ziara ya Mwenyekiti wa UWT Mkoa.

 Diwani wa Viti Maalum Kata ya Kigamboni, Amina Yakub akisalimia wakazi wa Kigamboni wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam.

 Diwani wa Kata ya Kigamboni, Dotto Msawa akiwasalimia Wajumbe wa Mkutano wa UWT Kata ya Kigamboni wakati wa Ziara ya Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam.

 Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kigamboni, Mwajabu Mbwambo akitoa neno la ukaribisho kwa wageni Waalikwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam.

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa UWT Kata ya Kigamboni wakifatilia hotuba kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave.

Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano wa UWT Kata ya Kigamboni wakifatilia hotuba kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave.

No comments:

Post a Comment