WAZIRI MKUU MAJALIWA AKILIAHIRISHA BUNGE LEO DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 9 February 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKILIAHIRISHA BUNGE LEO DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari  9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari  9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki, bungeni jijini Dodoma, Februari 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kumaliza hotuba yeke ya kuahirisha mkutano wa Bunge jijini Dodoma, Februari 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment