UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI JUU YA SHERIA MPYA YA UDHIBITI WA UZITO WA MAGARI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 25 February 2019

UTOAJI ELIMU UNAENDELEA KWA WASAFIRISHAJI JUU YA SHERIA MPYA YA UDHIBITI WA UZITO WA MAGARI

Afisa kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Omary Kinyange, akitoa elimu kwa madereva wa malori kuhusu utumikaji wa sheria mpya ya Afrika Mashariki ya Udhibiti wa Uzito wa magari katika mzani wa Makambako uliopo mkoani Njombe. Sheria hiyo inatarajiwa kuanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019.

Muonekano wa lori likipima uzito katika mzani wa Makambako, mkoani Njombe. Wasafirishaji wanaendelea kupewa elimu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayoanza kutumika tarehe 1 Machi, 2019.

No comments:

Post a Comment