WAZIRI MKUU, MAJALIWA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA SC 'IKIITAFUNA' JS SAOURA YA ALGERIA 3-0 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 13 January 2019

WAZIRI MKUU, MAJALIWA ALIVYOSHUHUDIA SIMBA SC 'IKIITAFUNA' JS SAOURA YA ALGERIA 3-0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kushuhudia Mechi kati ya Simba SC na JS Saoura ya Algeria, Januari 12, 2019. Timu ya Simba iliibuka mshindi wa goli 3-0 dhidi ya JS Saoura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wapenzi wa mpira wa miguu alipofika kushuhudia Mechi kati ya Simba SC na JS Saoura ya Algeria, kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Januari 12, 2019. Katika mechi hiyo Timu ya Simba ilishinda goli 3-0 dhidi ya JS Saoura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia goli la pili la Simba, wakati akiangalia Mechi kati ya Simba SC na JS Saoura ya Algeria kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Januari 12, 2019. Timu ya Simba iliibuka mshindi wa goli 3-0 dhidi ya JS Saoura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia Mechi kati ya Simba SC na JS Saoura ya Algeria kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Januari 12, 2019. Timu ya Simba iliibuka mshindi wa goli 3-0 dhidi ya JS Saoura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kushuhudia Mechi kati ya Simba SC na JS Saoura ya Algeria, Januari 12, 2019. Timu ya Simba iliibuka mshindi wa goli 3-0 dhidi ya JS Saoura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment