RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 6 WA MAHAKAMA YA RUFANI NA MAJAJI 15 WA MAHAKAMA KUU TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 January 2019

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 6 WA MAHAKAMA YA RUFANI NA MAJAJI 15 WA MAHAKAMA KUU TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie Korosso Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel Barke Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano Samson Mwandambo Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Mary Levira Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Ignus Paul Kitusi Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kerefu Sameji Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Mustapha Kambona Ismail Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Athumani Matuma Kirati Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini  Dar es salaam. Januari 29,2019.

No comments:

Post a Comment