Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na msafara wake wakitembelea mradi wa barabara sita unaoendelea eneo la Kimara Dar es Salaam hadi Mail Moja Mkoa wa Pwani. |
Ujenzi wa barabara sita kutokea Dar es Salaam hadi Mail Moja Kibaha ukiendelea. Eneo hili unajengwa ukuta kuzuia maji ya mto kuingilia barabara hizo. |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akipata maelekezo ya ujenzi wa barabara sita kutoka kwa wataalam wa Tanroads. |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na wanahabari mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya Mbezi-Goba-Wazo Hill yenye urefu wa kilometa 5. |
Muonekano wa kivuko cha waenda kwa miguu eneo la njia panda Kawe kituo cha Bondeni jijini Dar es Salaam. |
Sehemu ya ujenzi wa Daraja la Mlalakuwa eneo la JKT jijini Dar es Salaam ukiendelea. |
No comments:
Post a Comment