SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI BARABARA YA LAMI MKURANGA - KISIJU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 28 October 2018

SAMIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI BARABARA YA LAMI MKURANGA - KISIJU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (mwenye shati nyeupe) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju, mkoani Pwani.

Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Pwani Mhandisi Martin Wambura (wa kwanza kushoto) akifafanua jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kulia) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami ya Mkuranga – Kisiju mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment