Meza kuu ikiendesha warsha ya mafunzo kwa mawakala wa Benki ya NMB Mkoa wa Kagera. |
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB Mkoa wa Kagera, akitoa mada kwenye warsha ya mafunzo kwa mawakala wa NMB. |
Sehemu ya mawakala wa NMB wakiwa katika mkutano huo wa mafunzo ulifanyika katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba. |
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba. |
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba. |
Mmoja wa mawakala wa NMB akiuliza swali katika warsha hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba. |
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba. |
Picha ya pamoja na Meneja wa Mawakala Kanda ya Ziwa na Wafanyakazi wa NMB Bukoba. |
No comments:
Post a Comment