WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AREJEA NCHINI…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 11 September 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AREJEA NCHINI…!


Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitoka nchini China, alikomwakilisha Rais  John Magufuli kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Septemba 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments:

Post a Comment