RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI DARAJA LA MTO SIBITI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 11 September 2018

RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI DARAJA LA MTO SIBITI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa cha jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82, pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Sibiti wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10, 2018.

Wananchi wakiwa katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10,2018. Picha zote na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sibiti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82, pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mmoja wa Mhandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida Septemba 10,2018.


No comments:

Post a Comment