RAIS MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 8 September 2018

RAIS MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA SIMIYU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu. wengine ni Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Ummy Mwalimu, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina, Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka, Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge, Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mojawapo ya wgonjwa aliyepumzishwa katika chumba cha mapumziko katika hospitali mpya ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu mara baada ya kuifungua rasmi hospitali hiyo, Bariadi Mkoa wa Simiyu.

Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD) la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment