KAIMU BALOZI WA MAREKANI, DK PATTERSON AZINDUWA GHALA KITUO CHA KUCHAKATA NAFAKA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 22 August 2018

KAIMU BALOZI WA MAREKANI, DK PATTERSON AZINDUWA GHALA KITUO CHA KUCHAKATA NAFAKA

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Dk. Inmi Patterson (wa pili kushoto) akiungana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela (kushoto), mmiliki wa mashine ya kusaga na kukoboa mahindi Rita Sekilovele (wa pili kulia) na Meneja wa mpango wa ‘Feed the Future’ kutoka Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Joyce Mndambi (kulia) katika hafla ya ukataji utepe kufungua ghala jipya katika kituo cha kuchakata nafaka cha ‘Mama Seki’ mjini Iringa jana. Kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia USAID na mpango wake wa ‘Feed the Future,’ Mama Seki ameweza kuongeza uzalishaji maradufu, akizalisha kati ya tani 15 hadi 20 za unga wa mahindi kila siku.  (Picha: Kwa Hisani ya Ubalozi wa Marekani)

No comments:

Post a Comment