RAIS DK. SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA DJIBOUTI, IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 24 January 2025

RAIS DK. SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA DJIBOUTI, IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mahmoud Ali Youssouf mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti Mhe.  Mahmoud Ali Youssouf mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.

No comments:

Post a Comment