Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuzindua
Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya
upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye
muendelezo wa ziara yake ya Kikazi, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti,
2024.

wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali
pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa
la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya
upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti,
2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kama ishara ya
kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu
ya upanuzi wa Mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye
muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.
Matukio mbalimbali katika
hafla ya uzinduzi wa Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja
na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji ya Kiwanda cha Sukari
Mtibwa, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali
pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa
la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya
upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti,
2024.
Taswira ya Bwawa la
umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi
wa mashamba ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mvomero Mkoani
Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Skyward Deluxe Imeibariki Mei Kwa Ushindi wa Moto
-
KAMA unapenda michezo yenye msisimko, nafasi za ushindi na zawadi
zinazoshuka kila siku, basi Skyward Deluxe kutoka Meridianbet ndiyo sehemu
yako mwez...
TABORA YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI MADINI
-
*Na Mwandishi wetu, Tabora*
*Serikali imewataka wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika
sekta ya madini mkoani Tabora ili kuchochea ukuaji w...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment