RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 16 July 2024

RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU

 

Muonekano wa sehemu ya barabara ya Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (km 107), iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (km 107) kwa kiwango cha lami Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, tarehe 16 Julai, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa pamoja na viongozi wengine wa Serikali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (km 107) kwa kiwango cha lami Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na viongozi wengine wa Serikali wakivuta kitambaa kuashiria ufunguzi waa barabara ya Sumbawanga – Matai – Kasanga Port (km 107) kwa kiwango cha lami Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, tarehe 16 Julai, 2024.

No comments:

Post a Comment