| Muonekano wa barabara ya njia nne (Nsalaga -Ifisi Km 29), ambayo ujenzi wake unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Igawa-Songwe-Tunduma yenye urefu wa km 218. |
| Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya akiteta jambo na mkandarasi CHICO anaejenga barabara ya njia nne (Nsalaga -Ifisi Km 29), jijini Mbeya. |

No comments:
Post a Comment