KAMATI Maalum Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Zanzibar imetembelea Ofisi kuu ya Utabiri, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na kupata uzoefu wa utoaji wa taarifa za tahadhari za hali mbaya ya hewa zinazosaidia katika kukabiliana na maafa.
Dola Milioni 180 Kuimarisha Biashara, Kilimo na Wajasiriamali Kupitia NMB
-
Benki ya NMB Plc imepata ufadhili wa jumla ya Dola za Marekani milioni 180,
sawa na takribani Sh bilioni 468.1 za Kitanzania, kutoka IFC, British
Internati...
1 hour ago







No comments:
Post a Comment