MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA TANZANIA DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 30 June 2024

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA TANZANIA DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC DAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na CCM wakati wa Kikao cha NEC Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024. Mchungaji Msigwa aliwahi pia kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema pamoja na kushuka Nyadhifa mbalimbali ndani ya Chama hicho.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.









No comments:

Post a Comment