![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka
shada la maua kwenye eneo la Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali
nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada
la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali
nchini Rwanda. Maadhimisho hayo ya miaka 30 yamefanyika katika Makumbusho ya
Mauaji ya Kimbari, Kigali nchini Rwanda na kuhudhuriwa na viongozi kutoka nchi
mbalimbali tarehe 07 Aprili, 2024.
No comments:
Post a Comment